UDSM yaongozwa na Mstaafu

Kweli huyu jamaa ni miongoni mwa vyuo maarufu hapa duniani,hivyo taifa lina mhitaji sana( iweeeee bwana)
 
ni kweli hata chenge amesoma havard university, one of the top university in the world. na bado tunamuhitaji san tu.

 

Word Class!!!!!!!!!???????? Waraka upi????????????????
 
si ukaichukue hiyo nafasi kama unaipenda? wivu wa kijinga haujengi

We ni sifuri, ndio maana CCM inatukandamiza, sababu ya watu wajinga wasio na vision, umekalia unafiki na kujali hisia zako bila kuangalia sheria
 

Mkuu asante kwa taarfa. Hapo kwenye nyekundu pahusika. Retirement age ya vyuo vya umma bado ni miaka 60 isipokuwa kuna circular zinazoruhusu wanataaluma wenye sifa fulani kuajiliwa kwa mikataba kwa vipindi fulani bora kuwe na uhitaji. Unless kuna maamuzi mapya.

Pili mkulu huwa anapelekewa majina matatu kuteua VC halazimishwi kuteua wa kwanza na anaweza akawapiga chini wote na kuteua mwingine. Hapo kama alivyosema mtoto wa mkulima ni ikimpendeza. Na kuna ambao contract zao ziliisha wakaongezwa-na hapo pia ikimpendeza mkulu. Sisemi huyu ndugu kapendelewa bali ndio maamuzi yetu yalivyo.
 
Lusungo usihangaike sana maana AZ 89 anataja sheria labda atuambie sheria anayoisema ni ipi au la anawaza kibavicha, kichaso au kilema
 
We ni sifuri, ndio maana CCM inatukandamiza, sababu ya watu wajinga wasio na vision, umekalia unafiki na kujali hisia zako bila kuangalia sheria
narudia tena kama kuna mtu anaipenda ile nafasi akaichukue milango iko wazi maneno ya kutweta na wivu wa kijinga na wa kike hauna nafasi
 
Hiyo haishangazi kijana. Kwa taarifa yako wapo maprof waliostaafu kabisa na kuondoka campus, lakini wakafuatwa kuombwa kwenda walau kushika positions fulani katika schools na colleges za UDSM, itakuwa Mukandara ambaye umri wake wa kustaafu umemkuta akiwa madarakani?
 
Tuanzie hapa,hapa kuna hoja au hakuna? Kwanini?
 
Lusungo usihangaike sana maana AZ 89 anataja sheria labda atuambie sheria anayoisema ni ipi au la anawaza kibavicha, kichaso au kilema
ha ha ha ha Az 89 atakuwa na kimuhemuhe cha uchungu wa kesi ya zitto maana ameegemea katika wivu labda alitaka akaae slaa au mbowe
 
Last edited by a moderator:
kwani Slaa ni mtumishi wa uma? Akili zingine zimechakaa!
mmelemaa akili kila uongozi nchi hii mnataka ashike slaa au mbowe vijana wa bavicha mna matata sana
 
nimegonga like kuashiria umeondoa mziz wa fitna maana humu watu tunafuata mkumbo kuliko uhalisia na kupaparikia tusioyafanyia uchunguzi.... THANK Mabulangati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…