VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.
Jibu hoja. Slaa anaingiaje hapa? Kama huna cha kuchangia nyamaza kimya. Hatupendi kusoma upuuzi wenu hapa.slaa ana miaka mingapi? mbona hastaafu au kwa kuwa ile anayoiongoza ni NGO
slaa ana miaka mingapi? mbona hastaafu au kwa kuwa ile anayoiongoza ni NGO
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.
Kuna issue ya Rwekaza kama VC tofauti na Rwekaza kama Professor. Mleta maada anaulizia hili la pili. Bahati mbaya kwa hili sio UDSM tu nafikiri hata Mzumbe. Kuna makatibu wakuu pia wanaendelea au waliendelea kwa mikataba. Je nchi inakosa watu katika position hizi?
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kwasasa kinaongozwa na Mstaafu.Hii ni kwakuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Rwekaza Sympho Mukandala ameshafikisha umri wa kustaafu ingawa bado yuko madarakani. Nyaraka rasmi zinazopatikana katika www.udsm.ac.tz zinaonesha kuwa Prof. Mukandala amezaliwa Septemba 30, mwaka 1953.
Tarehe husika inamaanisha kuwa Prof.Mukandala alistaafu rasmi tarehe 30/9/2013. Hatahivyo, Prof. Mukandala ameendelea kuwa madarakani chuoni hapo kama Makamu Mkuu wa UDSM. Kwa mujibu wa mkataba wake wa uteuzi katika cheo alichopo, anapaswa kumaliza mwaka 2015. Lakini, tayari ni mstaafu.
Kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma, mstaafu hapaswi kuendelea na madaraka au nafasi aliyonayo. Hakuna Wanazuoni wengine wa kuteuliwa katika nafasi hiyo hadi mstaafu aendelee kuwa ofisini?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kama hujui ni vyema ukauliza. VC wa mlimani na hata vyuo vingine vya umma ni lazima awe na rank ya uprofesa. Sasa hata ukimuondoa mukandara kwenye nafasi ya VC, ni lazima utafutue profesa mwingine ili aweze kujaza nafasi ya VC. Lakini kumbuka serikali imeruhusu maprofesa kufanya kazi hadi umri wa miaka 70.Kwa kigezo hicho, Mukandara ni VC halali kwa mujibu wa taratibu za serikali.