UDSM yaongozwa na Mstaafu

UDSM yaongozwa na Mstaafu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kwasasa kinaongozwa na Mstaafu.Hii ni kwakuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Rwekaza Sympho Mukandala ameshafikisha umri wa kustaafu ingawa bado yuko madarakani. Nyaraka rasmi zinazopatikana katika www.udsm.ac.tz zinaonesha kuwa Prof. Mukandala amezaliwa Septemba 30, mwaka 1953.

Tarehe husika inamaanisha kuwa Prof.Mukandala alistaafu rasmi tarehe 30/9/2013. Hatahivyo, Prof. Mukandala ameendelea kuwa madarakani chuoni hapo kama Makamu Mkuu wa UDSM. Kwa mujibu wa mkataba wake wa uteuzi katika cheo alichopo, anapaswa kumaliza mwaka 2015. Lakini, tayari ni mstaafu.

Kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma, mstaafu hapaswi kuendelea na madaraka au nafasi aliyonayo. Hakuna Wanazuoni wengine wa kuteuliwa katika nafasi hiyo hadi mstaafu aendelee kuwa ofisini?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.
 
ukweli mchungu
 
Serikali ya CCM , unaye lalamika ni CCM , anaye wateua ni mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa Nchi yangu .Ulaji bwana kaka .
 
jamani mmeuona wimbo mpya wa diamond platinum feat davido "ngololo remix" upo fresh mbayaaaaa,pitia kitu cha you tube
 
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.

Kuna issue ya Rwekaza kama VC tofauti na Rwekaza kama Professor. Mleta maada anaulizia hili la pili. Bahati mbaya kwa hili sio UDSM tu nafikiri hata Mzumbe. Kuna makatibu wakuu pia wanaendelea au waliendelea kwa mikataba. Je nchi inakosa watu katika position hizi?
 
Kama hujui ni vyema ukauliza. VC wa mlimani na hata vyuo vingine vya umma ni lazima awe na rank ya uprofesa. Sasa hata ukimuondoa mukandara kwenye nafasi ya VC, ni lazima utafutue profesa mwingine ili aweze kujaza nafasi ya VC. Lakini kumbuka serikali imeruhusu maprofesa kufanya kazi hadi umri wa miaka 70.Kwa kigezo hicho, Mukandara ni VC halali kwa mujibu wa taratibu za serikali.
 
Usisahu kuwa Professors na Madaktari wana privileges za kufanya kazi hadi miaka 70!
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kwasasa kinaongozwa na Mstaafu.Hii ni kwakuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Rwekaza Sympho Mukandala ameshafikisha umri wa kustaafu ingawa bado yuko madarakani. Nyaraka rasmi zinazopatikana katika www.udsm.ac.tz zinaonesha kuwa Prof. Mukandala amezaliwa Septemba 30, mwaka 1953.

Tarehe husika inamaanisha kuwa Prof.Mukandala alistaafu rasmi tarehe 30/9/2013. Hatahivyo, Prof. Mukandala ameendelea kuwa madarakani chuoni hapo kama Makamu Mkuu wa UDSM. Kwa mujibu wa mkataba wake wa uteuzi katika cheo alichopo, anapaswa kumaliza mwaka 2015. Lakini, tayari ni mstaafu.

Kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma, mstaafu hapaswi kuendelea na madaraka au nafasi aliyonayo. Hakuna Wanazuoni wengine wa kuteuliwa katika nafasi hiyo hadi mstaafu aendelee kuwa ofisini?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Nilidhani wamesema wameongeza RETIREMENT AGE ya UNIVERSITY LECTURERS kwahiyo naona Muda wa kustaafu Umeongezwa...

Ni BORA
 
Kama hujui ni vyema ukauliza. VC wa mlimani na hata vyuo vingine vya umma ni lazima awe na rank ya uprofesa. Sasa hata ukimuondoa mukandara kwenye nafasi ya VC, ni lazima utafutue profesa mwingine ili aweze kujaza nafasi ya VC. Lakini kumbuka serikali imeruhusu maprofesa kufanya kazi hadi umri wa miaka 70.Kwa kigezo hicho, Mukandara ni VC halali kwa mujibu wa taratibu za serikali.

Sio issue ya kujua-ukifikia retirement age unaachia ngazi ya madaraka kama kiongozi. Professor kuendelea kama professor kwa mkataba ni issue tofauti kabisa. Sasa tuseme "imempendeza" mkulu huyu bwana aendelee au apewe mkataba wa aina hiyo.
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kwasasa kinaongozwa na Mstaafu.Hii ni kwakuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Rwekaza Sympho Mukandala ameshafikisha umri wa kustaafu ingawa bado yuko madarakani. Nyaraka rasmi zinazopatikana katika www.udsm.ac.tz zinaonesha kuwa Prof. Mukandala amezaliwa Septemba 30, mwaka 1953.

Tarehe husika inamaanisha kuwa Prof.Mukandala alistaafu rasmi tarehe 30/9/2013. Hatahivyo, Prof. Mukandala ameendelea kuwa madarakani chuoni hapo kama Makamu Mkuu wa UDSM. Kwa mujibu wa mkataba wake wa uteuzi katika cheo alichopo, anapaswa kumaliza mwaka 2015. Lakini, tayari ni mstaafu.

Kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma, mstaafu hapaswi kuendelea na madaraka au nafasi aliyonayo. Hakuna Wanazuoni wengine wa kuteuliwa katika nafasi hiyo hadi mstaafu aendelee kuwa ofisini?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

i-hate-ignorant-people.jpg
 
Sifikiri kwamba Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu ni sawa na Kamishna Mkuu wa TRA. Chuo Kikuu ni taasisi ya kitaaluma tofauti na mashirika mengine ya serikali.
 
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.

Hakuna lolote hapa. Muda ukifika basi mtu hustaafu, acha utetezi wa kipuuzi, halafu unajiita msomi. Haya, hivi huyo Profwesa ana maandiko gani yaliyochapishwa? Kitabu je? Ashukuru REDET ambayo imempa utajiri na cheo hicho kwa kuwashawishi (kuwarubuni) watanzania kwamba JK alikuwa akipendwa sana kwa kutumia takwimu za kuchonga. Mwenzie Tido walimtumia, walimwita, wakampa cheo baadaye wakammwaga! Chezea magamba !
 
Utaifakwanza na Mwanamalundi naomba msijitie ujinga au kuandika kitu kwasababu hamjui mnajifanya mnajua. Tena si kila kita mnakitazama kwa jicho la u-CCM au u-CHADEMA.

Mzee Tupatupa wa Lumumba ana hoja ya msingi mno. Ni hoja inayohusu Utumishi wa Umma, miiko ya kazi na nidhamu ya kazi.

Prof Mukandara ni mtumishi wa Umma. Ukomo wa utumishi wake ni miaka 60 kwa mujibu wa Standing order iliyopo. Kama atataka kulitumikia taifa hili ataomba kuajiriwa upya kwa mkataba. Mkataba wa kwanza utakuwa wa miaka miwili. Akitaka kuendelea ataomba mwingine wa miaka miwili. Kama atapenda zaidi basi ataomba wa mwaka mmoja na ndiyo wa mwisho. Akiwa na zaudi ya miaka 65 haruhusiwi kuomba tena. Lakini jua kuwa akiwa na miaka 60 anapostaafu kwa mujibu wa sheria haruhusiwi kushika madaraka yoyote katika mfumo wa uongozi (organogram) ya taasisi husika. Sawa aweza fanya kazi za taaluma yake kama mtaalamu lakini si uongozi.

Mukandara hastahili kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa kigezo cha umri. Kama yeye alivyoachiwa na Prof Luhanga, naye anapasa kumuachia mwingine immediately.

Wawili hapo juu na wengine wenye mawazo kama hayo, msijitie ujinga kwa mtazamo wa kitoto na kijaanjaa.

UDSM ni icon yetu watanzania katika Taasisi za Elimu ya Juu. Intergrity yake lazima iwe kubwa katika mambo yake. Siasa isitawale maamuzi ya wanataaluma. Ndiyo maana UDASA wametoa matamko mara mbili nyakati tofauti kupinga kuingiliwa as academicians.

Vuta-Nkuvute anahoja ya msingi.
 
kilaza ni kilaza forever, Chuo kuu cha DSm na chama cha siasa ni vitu viwili tofauti.
Dr Slaa sio mtumishi wa umma ni mtumishi wa chama cha siasa
wale hawako binded na kanuni za utumishi wa umma
Mukandala ni mtumishi wa Umma anapaswa kujiuzulu mapema ameshafika 60 yrs
hata jambo dogo kuelewa ni shida sasa kwanini nisiseme watanzania kama wewe wamelaaniwa?

sidhani au sina hakika kama wanaongezewa mikataba wanaruhusiwa kuwa na vyeo
na pia niseme wazi kile chuo 70% ya viongozi pale ni wahaya, same to Mandela University
ubaguzi wao umewafanya madr na maprof wengi kuvukimbia hivi vyuo...kubali usikubali ukweli ndio huo

slaa ana miaka mingapi? mbona hastaafu au kwa kuwa ile anayoiongoza ni NGO
 
Back
Top Bottom