UDSM website down for a week..... Kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM website down for a week..... Kulikoni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IronBroom, Oct 26, 2009.

 1. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakulu,

  Ni takribani juma zima sasa nimekuwa nikihitajikupata taarifa fulani fulani kutoka tovuti ya chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam bila mafanikio yoyote.

  Baada ya kujaribu na kujaribu,tena na tena nikaamua niwatafute jamaa zangu wanaofanya kazi kwenye taasisi hii muhimu.Lol,nilishtushwa na taarifa kuwa hata huduma ya barua pepe kwa wafanyakazi nayo hamna. Kisa?Malipo ya huduma hii yamezua mzozo.Kwamba chuo kimeshindwa kumlipa mtoa huduma naye bila kusita akaamua kusitisha huduma.

  Well,sina details zaidi juu ya suala hili.Ningependa kufahamu kwa undani kulikoni?Isijeikawa ni ufisadi mwigine tena jamani.

  Kabla ya kujadili hili naomba waandishi mlio humu(na yeyote in that capacity) please,dig into this na mtuhabarishe.La ikiwa ni uzushi basi I AM SORRY.
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ni kweli hata mimi nimejaribu ku-access www.udsm.ac.tz lakini niliambulia patupu. Nadhani waliingiliwa na virus wakaamua kuiweka chini.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Kuna thread niliweka zile PDF zote za udsm.co.tz kama ni hizo unahitaji zinaweza zikawepo bado. Website ilikuwa na virus labda ndo sababu wameidelete, unajua ukiwa unahost mavirus hata provider wako hafurahii. Kama ni malipo itakuwa ajabu kweli, maana unaweza ukapata webhost wa maana kwa less then $5 kwa mwezi, wahamishie huko.
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Bado iko down mpaka leo
   
 5. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kulikoni jamani? mpaka sasa haifunguki.
   
Loading...