Udsm watoa wito wanafunzi waende kupiga kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udsm watoa wito wanafunzi waende kupiga kura

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Speaker, Oct 17, 2010.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapa tatizo ni kwamba nauli tunatoa wapi?
  wadau tusaidieni,hapa tume karibishwa chakula ila mkaribishaji kajaza pili pili kibao tutaweza kula wote?
  soma hapa:
  UDSM - Users & Groups
   
 2. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  wanajikosha tu wanajuwa kuwawalishaharibu kwa kurefusha likizo mpaka baada ya uchaguzi. Nani atawagharamia nauli za kutoka mikoani na misosi wakiwa Dar?
   
 3. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Barua imekaa kihuni. Ina maana siku hizi UDSM haina letterhead? Kwenu wanfunzi kuweni wazalendo lipa nauli mje mpige kura jamani.
   
Loading...