Don king shebby
Member
- Apr 4, 2019
- 78
- 52
jamani vipi washatoa au Bado tujuzane
Mim nahisi washatoa maana hata option ya hizi scholarship kwenye application menu washaiondoa tangu alhamisi, na ukizingatia usajiri mwisho j3 basi lazima walishatoa. Pia kunajamaa kaniambia wale wa undergraduate washapatiwa so probably hata hizi washatoa.jamani vipi washatoa au Bado tujuzane