UDSM Undergraduate and Masters Merit Scholarship

Mhumapatali

Member
Jul 23, 2017
29
36
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi 62 za ufadhili wa masomo kwa shahada za awali (Undergraduate, Nafasi 52) na shahada za umahiri (Masters nafasi 10). Kwa maelezo zaidi angalia kiambatanisho
 
Attachments

  • UDSM_Merit Scholarship.pdf
    90.8 KB · Views: 23
Hawezi kuomba, maana hawezi kupata admission ya udsm kwaajiri ya masters, kwasababu hana cheti wala transcript ambavyo ni lazima awe navyo ili kupata admission
Mkuu si lazima uwe na vyeti hivyo unapoomba admission hasa kwa aliyesomea UDSM.
Atumie provisional results tu atapata admission.
Kwa walio na interest waombe kwa kiambatanisho nilichotaja provided mda wa admission uwe haujafungwa though huwa kuna internal application unaweza kufanya hata kama watakuwa wamefunga online provided chuo kiwe na at least mwezi mmoja kabla ya kufunguliwa.
Unfortunately UDSM wanafungua wiki ya kwanza ya mwezi November kwa continuing na wiki ya mwisho ya October kwa first year.

Wajaribu bahati zao especially kwa walio na admission na awe potential kuajiriwa na chuo baada ya kumaliza masters na kwa kozi zenye wataalamu wachache na wanaohitajika pia!
Best wishes!
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Naombeni msaada kwa waliofanikiwa kutuma maombi.

Hivi hiyo recommendation letter anakuandikia mwalimu na kukupa au anawatumia wao directly?
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi 62 za ufadhili wa masomo kwa shahada za awali (Undergraduate, Nafasi 52) na shahada za umahiri (Masters nafasi 10). Kwa maelezo zaidi angalia kiambatanisho
Hicho Chuo sio pa kwenda kusoma postgraduate studies (PhD na masters.) Hapafai!
 
Hivi pale tunapo attach documents mbona hakuna option ya birth certificate na pia juu yake kwenye tarehe ya kuzaliwa kwenye sehemu ya mwaka wa kuzaliwa panagoma kuedit?

Haya mmedeal nayo vipi ndugu zangu?
 
Hiki chuo nacho kinakaribia kuwa cha kata. Yaan walisema majibu watatoa wiki inayoishia tar 10. Lakini cha kushangaza leo ni tarehe 14 bado hawajatangaza waliopata na usajiri mwisho ni tar 18. Na masomo yashaanza wiki ya pili hii. Kwa nini wanashindwa. Kuwa systematic
 
Mpaka leo bado? Au kuna watu washapewa?

Back
Top Bottom