ANGELOBUSE
Member
- Aug 28, 2017
- 32
- 7
Walio confirm udsm
hakuna group la udsm?computer science
Mwaka gani??Boom limeshatoka? Wakati naanza chuo tulikuwa tunapokea Tsh 2,500 per day. Maisha yalikuwa magumu sana...
2005/2006Mwaka gani??
Ahaa kipindi hicho tulikua tunanunnua kipande cha muogo kwa shilingi ishirini ila sasa ni shilingi mia moja there is 80% difference nahisi ilikuwa inakidhi haja za wakati huo.2005/2006
2005/2006
Sijawahi kulipa hata senti. Nasubiri 'msamaha wa Rais...No wonder jina lako lipo kwenye orodha ya ''wadaiwa sugu'' wa bodi us mikopo mkuu....
Nimepoteza ndugu zangu wa4 huu mwaka.Simnasemaa chuo bata boom la magu haliliki kizembe, Msuli wa chuo n zaidi ya advanc, huku utatoboa hata kama ulikuwa hujawah, ukuzubaa unarud home