UDSM Tuitorial Assistant Interviews

Gibeath-Elohimu

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
489
Reaction score
700
Salaam wadu wa humu jamvini.

Naomba kuwasilisha swali dogo kwenu nikiomba kupata updates kama kuna yeyote aliyeitwa kwa nafasi za T.A kitivo cha sheria.

Natanguliza shukran kwenu wanajamvi.
 
Ndugu wanajamvi chondechonde kwa wale wenye updates zozote juu ya mchakato huu kama nilivyo jaribu kuanisha hapo juu(kwa kitivo cha sheria),naomba msipite kimya wajumbe!.

Shukran kwenu.
 
Mbona walishaita tangu last week! Kama uko dar nenda department ukaulizie
 
Marunde Je walioitwa toka last week ni wa kada/vitivo vyote au wanaita kwa mpangilio wa vitivo...naomba kuwasilisha wanajamvi.

Pia nashukuru kwa kupata mrejesho kutoka kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Naomba mnijuze jinsi ya kupost kitu humu jamii forum

Ndugu Hussein Aziz.

Watakuja KukueleKeza Wadau Wazoeefu Usijali.

Unapo log in, Ukifungua Jukwaa Lolote Utaona Pale Juu Kabisa Pameandikwa "New Topic" Click hapo ndo waweza Kuanza Kuandika Post (Thread) Yako.

Muhimu: Chagua Jukwaa Sahihi Kwa Ajili ya Post/Thread Yako. Kama Kwa Mfano Unataka Kupost Juu ya Ajira Basi Ingia na Upost Kwenye Jukwaa la Nafasi za Kazi na Tenda, Kama ni Siasa Basi Post Kwenye Kukwaa la Siasa...!

Ukikosea Jukwaa Moderators Watahamisha Uzi Wako Kwenye Jukwaa Sahihi. Utakuta Thread Yako Imeandikwa 'Moved'

Kila la Kheri Mkuu!
 
Vijana waliofanya vizuri walijulikana siku hio hio kwenye interview, nakushauri ujaribu kuwasiliana na mkuu wako wa idara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…