UDSM: Siri ya kiongozi wa CHADEMA kuanzisha fujo wakati wa kusikiliza kesi ya Uchaguzi DARUSO

( kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana kinemo)
 
Mleta mada umekimbilia wapi? Njoo utoe ufafanuzi wa mada yako watu tumeshindwa kuelewa!!
 
Mkuu andika kwa kiswahili wengine hatuelewi kisukuma.
 
Mtoa post,karibu sana shuleni kwangu...japo shule zimefungwa lkn drs la saba,la nne na watoto wasiojua KKK ( kusoma kuandika na kuhesabu) wamebaki so,njoo nikuunganishe kwenye drs la kkk!
 

Dogo soma acha ujinga!!
 
Nimegundua ujinga wako ni kipaji.
Sasa ndo umeandika uhalo gani?
Hauhitaji kuwa na elimu ya chuo kuandika ujinga kama huu
 
CCM ya kutoa waraka kila kukicha mpka vyuoni,nchi inamatatizo lukuki ya umuhimu ila mazazwa ya awamu hii wao ni kuzuia kila ushindi ili washinde wao,awamu ya wajinga
 
Hili tutusa lipo chuo kikuu kweli au? mbona andika yake kama mtoto wa form 2 ya kata? aibu! kaazi kweli kweli! vijana wa Lumumba akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Rubbish
 
Nadhani ulikuwa Night Club muda huu. Baada ya kulewa ndio ukaamua kutuletea haya madudu...
 
Halafu kuna watu bado wanaamini kusoma UDSM ndio unaonekana "kichwaa" hahahahahaha kazi ipo! (Allumn wa chuo hiki sitaki povu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…