Habari mlioko UDSM.Wale mlioko Shule ya Sheria NGAZI YA UZAMILI.Naomba mnisaidie.Katika pekuapekua yangu nikona baadhi ya LLM za mwaka mmoja lakini kwenye nchanganuo wa ada kozi za LLM zinaonesha kuwa ni miezi ama 18 au 24. Prospektasi hapo zinaoneshaje? make kama ilivyo kawaida kwa taasisi nyingi wanaweka mawasiliano ukituma hata barua pepe hawajibu.Tafadhali naomba jibu kwa aliyeko karibu na chanzo.
Ahsanate