Msomi_wa_bongo2
Member
- Nov 6, 2015
- 46
- 18
vuta subiraXooo second selection n lin?
Mkuu si mpaka uombe tena auXooo second selection n lin?
Hakuna malipo kwa chuo ulichoomba mara ya kwanza mkuuKuomba tena unalipa kwa chuo ambacho ulishaaplly mara ya kwanza??
Mm nackia majina wanatoa round 2 then kwa aliyekosa kbs nd ataapply ten kwa cours ambaz zik emptyHakuna malipo kwa chuo ulichoomba mara ya kwanza mkuu
ebu clarify hapo mkuu kwa maana kuna dogo kakosa vyuo vinne alivyo applyMm nackia majina wanatoa round 2 then kwa aliyekosa kbs nd ataapply ten kwa cours ambaz zik empty