Lengo la hiyo course ni kuwafundisha watu introduction to programming. Basics za programming, data structure, principles etc.
Hawana lengo la kuwafundisha wanafunzi wakatumie pascal mtaani kufanya kazi. Ukimaliza hiyo course unaweza kujifunza lugha yoyote ile.
Usifikiri wao ni vilaza ndo maana hawafundishi lugha zingine.