udsm;molecular biolog&biotenchnology vs Architecture ya Ardhi university

sina cha kukuahaur kwa ugumu was mmojawapo ya degree;sijui umesoma comb IPI!!nkusaidie make umegusa eneo lang hapo
 
zote ni nzuri hasa architecture. ila kama anaenda udsm kusoma molecular biology ajipange akasome kweli, hiyo degree programme siyo lelemama. Itabidi asome hiyo programme kama medical student taking MD or even more. Lecturers hawana masikhara kwenye orientation ataambiwa, hawatoi lecture notes ni vitabu tu. atawakuta Dr. maeda, dr. Makene, prof. the magingo, dr. Masalu, prof mshandete na wengineo. Atakutana na courses ngumu kama Immunology I, II and III. Molecular biology, Molecular developmental biology, Biochemistry I, II, III. Forensic DNA typing, Molecular Virology, Medical bacteriology, mycology etc
 
apo una two very different lifestyles to choose.. kama kuamua kua sister au kuolewa. kote pazuri sema inategemea ntu na ntu. if u are open minded, creative, flexible outgoing etc architecture itafaa, if u have the right concerntration, well settled, wa library zaidi then iyo nyingine itafaa. it really matters who you. nafkiri mfumo wetu wa elimu ukimaliza form 6 +|- jeshi haitoshi kumuandaa mtu kuchagua a career, kungehitajika an intermediate level between secondary school and university.. where students can get some career advice, can explore options!
 
Waweza ongezea nyama hiyo kozi ya UDSM mi pia nimechaguliwa hiyo kitu?
 
apo una two very different lifestyles to choose.. kama kuamua kua sister au kuolewa. kote pazuri sema inategemea ntu na ntu. if u are open minded, creative, flexible outgoing etc architecture itafaa, if u have the right concerntration, well settled, wa library zaidi then iyo nyingine itafaa. it really matters who you. nafkiri mfumo wetu wa elimu ukimaliza form 6 +|- jeshi haitoshi kumuandaa mtu kuchagua a career, kungehitajika an intermediate level between secondary school and university.. where students can get some career advice, can explore options!
kweli kabisa maana unakuta mtu huelew hata pa kikimbilia
 
Kasome architecture boss kwa usawa huu wa ajira za magu.. architecture ni rahisi zaidi kupiga dili zako bila kusubiri ajira.
 
Usitumie povu kuficha ujinga bishana kwa hoja.. mi kuna jamaa namfahamu kasoma hiyo course sa hizi yupo kaamua kufundisha biology advance tu huko vijijini anapasua vyura.
kama nilivosema p I t a m b e l e
 
Back
Top Bottom