UDSM: Mlemavu wa Macho atunukiwa PhD

UDSM: Mlemavu wa Macho atunukiwa PhD

Peter Madukwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
3,147
Reaction score
2,513
MLEMAVU WA MACHO ATUNUKIWA PhD

Katika Mahafali ya 52 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Mzee Celestine Karuhawe ambaye ni Mlemavu wa Macho(Asiyeona Kabisa) alitunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD in Education) ambao ameusomea kwa takribani Miaka 7.

Hakika Mungu ni mwema kila wakati.
20220607_114334.jpg
 
Ashukuriwe Mungu kwa kweli japo PHD sio msaada sana kwa taifa letu
 

Hongera Sana ​

Mungu Ni Mwema Wakati Wote ​

 
Mungu ni mwema sana. Kanipa inspiratin kwa kweli.

Mungu akipenda nitafanya PhD one day.
 
We pamoja na macho yako yote mawili unapata lower second undergraduate [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom