..hapo kwenye amani na utulivu msikose kumshirikisha mwanahistoria Mohamed Said.
..rasilimali na maendeleo ya uchumi u need ppl like Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Prof.Mwita Wangwe, Balozi.Juma Mwapachu, etc.
..kwenye elimu na maendeleo mumshirikishe Haki Elimu, Dr.Joyce Ndalichako, Tabitha Siwale, Dr.Jabir Kuwe Bakari, Prof.Idris Rai, Prof.Mathew Luhanga, Dr.Nderakindo Kessy, etc
NB:
..Magufuli hapaswi kualikwa hapo. he is too partisan.
..hawezi kuzungumza sentensi mbili bila kumtaja "Laisi Jakaya Mlisho Kikwete" na "ilani ya CCM ukulasa wa 34 mpaka 38."