UDSM Kufanya Kongamano Kabambe Siku ya Uhuru: Angalia Ratiba & Wazungumzaji Wakuu

Safi sana,imetulia mkuu,kazi kwa mawaziri wa magamba watasepa kwa visingizio kibao,si ajabu wengine wakasema wana tumbo la kuhara...
 
aiseeeeeee babaangu hao mawaziri lazima wale kona mkuu wa nchi alisema hataki midahalo
 
Aisee huo mdaharo ni wa uhakika kabisa sipati picha hivyo vichwa!
 
..hapo kwenye amani na utulivu msikose kumshirikisha mwanahistoria Mohamed Said.

..rasilimali na maendeleo ya uchumi u need ppl like Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Prof.Mwita Wangwe, Balozi.Juma Mwapachu, etc.

..kwenye elimu na maendeleo mumshirikishe Haki Elimu, Dr.Joyce Ndalichako, Tabitha Siwale, Dr.Jabir Kuwe Bakari, Prof.Idris Rai, Prof.Mathew Luhanga, Dr.Nderakindo Kessy, etc

NB:

..Magufuli hapaswi kualikwa hapo. he is too partisan.

..hawezi kuzungumza sentensi mbili bila kumtaja "Laisi Jakaya Mlisho Kikwete" na "ilani ya CCM ukulasa wa 34 mpaka 38."
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom