Ni kweli Mkuu. Udsm iachane kabisa na mpango wa kumpa tuzo mtu ambaye ameshindwa kutatua matatizo ya msingi yanayowasumbua Watanzania kwa sasa. UDSM ikianza kufanya hivyo itapunguza credibity yake.UDSM ni chuo chenye heshima ndani na nje ya nchi. Wanasiasa na wataalam wengi ndani na nje nchi wametokea hapo. kwahiyo chuo kama hiki kinapotaka kutoa tuzo za heshima kwa mtu yoyote ni lazima kuwe na misingi na vigezo vya kutosha kufanya hivyo ili kisipoteze heshima yake ndani na nje ya nchi.
Tunasikia UDSM inataka kumtunuku JK PHD ya heshima, imetumia vigezo gani kutaka kufanya hivyo!, Au ni kujipendekeza tu kwa huyu kiongozi! na kujaribu kuficha mabaya yake.
Wapo viongozi wengi hapa nchini ambao ni wazalendo na wanapigana kila siku, hawalali, pamoja na kufichua maovu mengi katika kujaribu kuokoa maisha ya mtanzania hasa wa hali ya chini. na hawa viongozi wanajulikana ndani na nje ya nchi (mnaweza kusaidia kuwataja). kwanini viongozi hawa wasipewe hizo tuzo za heshima!!. na hapa ndio napata wasiwasi kwamba huku ni kujipendekeza kwa UDSM kwa Rais huyo ambaye ameshapoteza mvuto machoni mwa watanzania. UDSM inatuambia nini kwa hili!.
Kama amepoteza mvuto kwani tunataka kumuoza?.mbona mnawivu za ajabu?,angepoteza mvuto Igunga wakachagua chama chake?.Kwa mtu asiye kipofu ameyaona mapinduzi ya elimu yaliyofanywa na JK.Upanuzi wa shule ya elimu na sekondari.Leo hi kila kata kuna sekondari huku vyuo vikuu vikiögezeka.Kajenga UDOM au hamkijui chuo hiki?,najua kuna watu hapa watakurupuka kama wamemwagiwa uji wa moto kwa kuorodhesha changamoto za haya nilioyataja hivyo kujenga hoja feki ati hajafanya kitu.Prof. Mukandara usirudi nyuma ktk hili mmpe PHD yake anastahili wakupasuka na apasuke.