Udsm in photo

Udsm in photo

Uzuri taaluma majengo mazur sana hayanisaidii,udom nacho kinakuja vizur kitaaluma miaka kumi ijayo kitakuwa mbali sana nafikiri udsm na udom huenda vikawa ktk ushndani mkubwa hasa taaluma ya ubunifu wa mambo japo sua mzumbe vinafanya vizuri.

UDOM waongeze nguvu ya kuwa more objective kwenye selection na uongozi wa chuo.....!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom