Mpambalachuma
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 362
- 44
jamaangu umeongea jambo la msingi sana asee, unajua kuna wengine wapo ukerewe huko na wanahitaji kuomba ruhusa na majina hayajatoka, basi hata kwa nyie mliopo dar mungu akiwaongoza mkienda udsm na mkapata jibu basi na wale wa mikoani itabidi waombe ruhusa hata kwa kutumia profile view ya nacte. kaka MPAMBALUMA fanyeni ivo ariff tunawategemea sana maana huu msiba bado ni wetu na ukifanya ivo utasaidia vijana wenzako zaidi ya 1000 so fanyeni asee.
Msijali ndugu, tupo pamoja pia tahakikisha kesho kila kitu kipo Sawa pia tajitahid nifike makao makuu ya Nacte ili tuone wanatusaidiaje!?
ila leo tutajua mbivu na mbichi, nimemtuma mwana akacheki na utawala ili apate jibu la uhakika kama tunaenda tujiandae au kama mwaka huu hatuendi basi tuendelee na michongo mingine ya kutafuta maisha, maana kama mungu hajapanga basi huwezi force asee na ukilazimisha utashangaa unaenda ishi maisha kama umesuswa , ila wajomba tusikate tamaa mwisho wa siku kitaeleweka tuu, ila tujipange kwa lolote litakalotokea.
0782444579
hujatupa feedback mkuu
Morning humu vip inakuaje m?ana kesho ndo siku ya ku report UDSM na chuo hawajatoa majina yetu tunafanyaje ndugu m?ana hatujielew wengine hapa
vipi kuhusu tarehe ya kuripoti awaja tbadirishia kama wenzetu udom...!!?
Morning humu vip inakuaje m?ana kesho ndo siku ya ku report UDSM na chuo hawajatoa majina yetu tunafanyaje ndugu m?ana hatujielew wengine hapa