UDSM imeachia round 4 & 5


Sasa tufanye nini ndugu, maana Hali tete
 
Just have hope coz hawawezi kuwaacha
Unajua kila jitu kinaenda step by step
Keep on waiting sawa
Na usikate tamaa bwana yu nanyi daima
 
Basi kama upo dar
Jumatatu fanya kwenda tcu au wapigie cm
Lakn ondoa mawazo kabsa sawa, kila kitu kitakuwa sawa, karibu sana udsm
 

Round 1 na 2 zilitoka pamoja ndio maana iliyofuatia ilikuwa round 3 na sasa round 4 na 5.

Kama profile inaonyesha ulichaguliwa UDSM na jina lako halipo basi yawezekana jina lako limerudishwa TCU kwa sababu ya kukosa vigezo au bado halijapelekwa UDSM.
 
Tujitahid watu wa NACTE tuliopo Dar, kesho twende Udsm jaman
jamaangu umeongea jambo la msingi sana asee, unajua kuna wengine wapo ukerewe huko na wanahitaji kuomba ruhusa na majina hayajatoka, basi hata kwa nyie mliopo dar mungu akiwaongoza mkienda udsm na mkapata jibu basi na wale wa mikoani itabidi waombe ruhusa hata kwa kutumia profile view ya nacte. kaka MPAMBALUMA fanyeni ivo ariff tunawategemea sana maana huu msiba bado ni wetu na ukifanya ivo utasaidia vijana wenzako zaidi ya 1000 so fanyeni asee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…