Miongoni mwa masharti ya kujiunga na shahada ya Uzamili katika vyuo vingi vya nje (Ulaya, Marekani na kwingineko) ni kuwa na uthibitisho wa kujua lugha ya Kiingereza kwa usahihi. Katika hili unapaswa pamoja na cheti chako cha shahada ya kwanza, transcipts nk, uwasilishe cheti cha masomo ya Lugha ya Kiingereza.
Japo kuwa Kiingereza ndio lugha ya kufundishia na moja ya kozi ya lazima ukiwa Chuo Kikuu ni somo la mawasiliano (communication Skills), unapotaka kupata uthibitisho wa chuo Kikuu cha Dare es salaam (UDSM), inaoneka kuwa chuo hicho kinatoa tena kwa gharama ya zaidi ya Tshs. Cheti cha kinachoitwa " Certificate of Proficiency in English".
Kwa wale ambao wamewahi kupata cheti hicho kwa kweli unaweza kuona ni bishara ya kitapeli inafanyika hapo, kwani kwa mtazamo halisi, cheti hicho ambacho binafsi nilikipata kwa zaidi ya Tshs, 15, 000 ni kijikaratasi tu cha "A4" ambacho kinatolewa na Idara ya "Foreign Languages & Linguistics" na kimesainiwa na kimegongwa muhuri wa "rubbers stamp" na "Coordinator - Communication Skills Unit". pia, binafsi hata nilipolipia, fedha nilitoa kwa Katibu mhtasi (sekretari) na kupewa risiti ya "pay cash" isiyo na nembo yeyote ya UDSM...
Cha ajabu, tofauti na cheti cha shahada na Transcript ambavyo unaweza kutoa na kutuma nakala kivuli kwa kila chuo unachoomba, hiki cha kujua Kiingereza cha UDSM inabidi uwe na nakala halisi (orignal copy) kwa kuwa kwenye kila cheti wanaandika "Only orignal copies with official stamp should be considered genuine" yaani wakimaanisha hako ka "rubber stamp" ka Mratibu wa Kitengo cha Lugha.
na UDSM wanataka ulipie fedha kila nakala watakayokupa. Cha kusikitisha zaidi, cheti hicho cha UDSM kimekataliwa na zaidi ya vyuo vitatu kuwa hakina hadhi yeyote ya kuthibitisha uwezo wa kujua kiingereza. Hivyo kulazimika kuchukua masomo ya Lugha yanayotolewa na British Council.
Ninachojiuliza, hivi ni kwanini ikiwa mtu umesoma hapo UDSM na kufuzu vizuri somo la "Communication Skills" bado chuo kna shindwa kukusaidia na badala yake kuachia huu uhuni wa baadhi ya walimu wa Idara ya Lugha kujipatia fedha kupitia hivi vyeti ambavyo pangine havimsaidii mhusika au kwa muonekano haviwezi kuwa na gharama kubwa ya zaidi ya Tshs. 10, 000??.
Ni kama ka ufisadi fulani hivi!!.
Asante sana Mkuu. Hitaji lilikuwa ni TOEFL . Baada ya kujaribu kuulizia nikaambiwa hata UDSM cheti ambacho kinakubalika kama kwa vyuo vya kimataifa na ndiipo hapo nilipokutana na hali hiyo..nilikwenda Jumatatu wakaniambia niende Alhamisi, hapo nikakutana na wengine kibao. Kuna utartaibu wa kuonana tena na Wanazuoni wa hapo, unakalishwa chini kama mtoto wa chekechea na kuanza kuulizwa kwa kimombo unakimanya uzuri, kama unajua kujieleze, iwapo umesoma kwa lugha ya kiingereza nk. Fikiria hapo hujapewa hata quiz ya kuandika wala kusikiliza lectures lakini baada ya zoezi la kuojiwa, Sekretari ana type hako ka cheti kama recomendation letter tu kakiwa na particulras zifuatazo na unapewa (by then I had to pay Tshs. 15, 000 for the first and 3, 000 for each copy):
University of Dar Es Salaam(logo ya Uni)
Department of Foreign Languages and Linguistic
Certificate of Profciency in English
Name: (first, Middle, last) Ngoshwe wa JF
Citizenship: Tanzanian Date of Birth: 5 February 1977
Knowlegde of Engilish Language:
I Listening Comprehension II: Writing
a)understanding converstaions and [ ] a) writes well with no mistakes [ ]
lectures without efforts [ ] b) writes with few Mistakes [ ]
b)Understands almost everything when spoken to slowly c) writes with difficulty and makes many mistakes [ ]
c)Understands with difficulty, needs repetition [ ] d) Cannot express simple ideas in writting[ ]
d) cannot follow conversations and lectures al all[ ]
II Speaking IV: Reading
a) Speaks fluently, correctly and is easily [ ] a) Reads and understands without difficulties [ ]
to understood [ ] b) Must read slowly, but understands the context [ ]
b) Is easily understood, but is not [ ] c) has problem understanding and must use a dictionary often[ ]
always fluent and correct [ ] d) cannot understand even simple text [ ]
c)Speaks broken English with Mistakes [ ]
d) Cannot express simple ideas in spoken English[ ]
Remark: This certificate is for application to the University of the Kanumba of Hollywood, the applicant studies from secondary school to University through English Medium
Examiner: Dr. Kilaza Mkamataji:
Senior Lecturer and Coordinator, Communication Skills Unit
Date: ................................Signature: ................................ (stamped with rubber stamp)
(only orignal copies with official stamp should be considered genuine)
Examiner: Dr. Kilaza Mkamataji:
Senior Lecturer and Coordinator, Communication Skills Unit
.
Aisee i also got tht certificate yani,and bad things is KINA EXPIRE AFTER THREE YEARSSS!
Ndo mara ya kwanza nasikia eti cheti cha academic merits kina expire!!!
Pole Ngoswe,Miongoni mwa masharti ya kujiunga na shahada ya Uzamili katika vyuo vingi vya nje (Ulaya, Marekani na kwingineko) ni kuwa na uthibitisho wa kujua lugha ya Kiingereza kwa usahihi. Katika hili unapaswa pamoja na cheti chako cha shahada ya kwanza, transcipts nk, uwasilishe cheti cha masomo ya Lugha ya Kiingereza.
Japo kuwa Kiingereza ndio lugha ya kufundishia Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam na moja ya kozi ya lazima ukiwa hapo ni somo la mawasiliano (communication Skills), unapotaka kupata uthibitisho wa chuo Kikuu cha Dare es salaam (UDSM), inaoneka kuwa chuo hicho kupitia Idara yake ya Lugha kinatoa tena kwa gharama ya zaidi ya Tshs. 10, 000 Cheti cha kinachoitwa " Certificate of Proficiency in English" (CPE).
Kwa wale ambao wamewahi kupata cheti hicho kwa kweli unaweza kuona ni bishara ya kitapeli inafanyika hapo, kwani kwa mtazamo halisi, cheti hicho ambacho binafsi nilikipata kwa zaidi ya Tshs, 15, 000 ni kijikaratasi tu cha "A4" ambacho kinatolewa na Idara ya "Foreign Languages & Linguistics" na kimesainiwa na kimegongwa muhuri wa "rubbers stamp" na "Coordinator - Communication Skills Unit". pia, binafsi hata nilipolipia, fedha nilitoa kwa Katibu mhtasi (sekretari) na kupewa risiti ya "pay cash" isiyo na nembo yeyote ya UDSM...
Cha ajabu, tofauti na cheti cha shahada na Transcript ambavyo unaweza kutoa na kutuma nakala kivuli kwa kila chuo unachoomba, hiki cha kujua Kiingereza cha UDSM inabidi uwe na nakala halisi (orignal copy) kwa kuwa kwenye kila cheti wanaandika "Only orignal copies with official stamp should be considered genuine" yaani wakimaanisha hako ka "rubber stamp" ka Mratibu wa Kitengo cha Lugha ndo jenuini yenyewe.
na UDSM wanataka ulipie fedha kila nakala watakayokupa. Cha kusikitisha zaidi, cheti hicho cha UDSM kimekataliwa na zaidi ya vyuo vitatu kuwa hakina hadhi yeyote ya kuthibitisha uwezo wa kujua kiingereza. Hivyo kulazimika kuchukua masomo ya Lugha yanayotolewa na British Council.
Ninachojiuliza, hivi ni kwanini ikiwa mtu umesoma hapo UDSM na kufuzu vizuri somo la "Communication Skills" bado chuo kna shindwa kukusaidia na badala yake kuachia huu uhuni wa baadhi ya walimu wa Idara ya Lugha kujipatia fedha kupitia hivi vyeti ambavyo pangine havimsaidii mhusika au kwa muonekano haviwezi kuwa na gharama kubwa ya zaidi ya Tshs. 10, 000??.
Ni kama ka ufisadi fulani hivi!!.
Inaelekea Ngoshwe ulikipata kile cha zamani sana. Siku hizi unaweza ukatoa photocopy na kukitumia sehemu nyingine ila ni valid for 3 years, na ndio maana Iteitei ameandika hapa chini. Kwa sasa hivi haufanyiwi mahojiano, ila kuna paper kali sana, na mimi nilipokuwa nasaka scholarship nililazimika kufanya mtihani huo. jaribu kupita tena pale, utaratibu umebadilika. Ila kuhusu hoja ya kwamba idara hiyo inafanya ufisadi, hapo sina maelezo...
Cha ajabu, tofauti na cheti cha shahada na Transcript ambavyo unaweza kutoa na kutuma nakala kivuli kwa kila chuo unachoomba, hiki cha kujua Kiingereza cha UDSM inabidi uwe na nakala halisi (orignal copy) kwa kuwa kwenye kila cheti wanaandika "Only orignal copies with official stamp should be considered genuine" yaani wakimaanisha hako ka "rubber stamp" ka Mratibu wa Kitengo cha Lugha ndo jenuini yenyewe na UDSM wanataka ulipie fedha kila nakala watakayokupa.
Aisee i also got tht certificate yani,and bad things is KINA EXPIRE AFTER THREE YEARSSS!
Ndo mara ya kwanza nasikia eti cheti cha academic merits kina expire!!!
Inaelekea Ngoshwe ulikipata kile cha zamani sana. Siku hizi unaweza ukatoa photocopy na kukitumia sehemu nyingine ila ni valid for 3 years, na ndio maana Iteitei ameandika hapa chini. Kwa sasa hivi haufanyiwi mahojiano, ila kuna paper kali sana, na mimi nilipokuwa nasaka scholarship nililazimika kufanya mtihani huo. jaribu kupita tena pale, utaratibu umebadilika. Ila kuhusu hoja ya kwamba idara hiyo inafanya ufisadi, hapo sina maelezo