tindikalikali JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,855 1,117 Jun 19, 2011 #21 Na wewe unajiita "GREAT THINKER?" mkali wa leo said: udsm na nyie gomeni mje home mana udom ss hv tunakiona cha moto kitaa.so cyo mbaya km tukiwa wote kitaa. Click to expand...
Na wewe unajiita "GREAT THINKER?" mkali wa leo said: udsm na nyie gomeni mje home mana udom ss hv tunakiona cha moto kitaa.so cyo mbaya km tukiwa wote kitaa. Click to expand...
M mbaba Member Jun 18, 2011 43 1 Jun 20, 2011 #22 vip'TCU wanasemaje kuuhusu jina la rais,politician si wameingiza mkono wanataka waitwe wenyeviti badala ya rais kwa sababu zao eti wanakuaga na influence kubwa an then wanaweza shawishi lolote
vip'TCU wanasemaje kuuhusu jina la rais,politician si wameingiza mkono wanataka waitwe wenyeviti badala ya rais kwa sababu zao eti wanakuaga na influence kubwa an then wanaweza shawishi lolote
Engager JF-Expert Member Jan 12, 2011 1,274 2,648 Jun 20, 2011 #23 Wizzo said: wanadai eti ni kada wa magamba,wale wagombea wote waliosadikika wa chadema waliondolewa mapema kweny screening Click to expand... Siasa Vs Education tz!!!! Napata homa
Wizzo said: wanadai eti ni kada wa magamba,wale wagombea wote waliosadikika wa chadema waliondolewa mapema kweny screening Click to expand... Siasa Vs Education tz!!!! Napata homa
NYENJENKURU JF-Expert Member Feb 11, 2011 1,063 288 Jun 21, 2011 #24 Nakumbuka Daruso ya mwaka 1994/95 kurudi nyumba ndo zilikuwa DARUSO SIYO HIZI ZA SASA SIASA TUPU