Naona pombe za jana bado zipo kichwani unaropoka tuwamchome moto tuu
democrasia gani unayoiongelea,hakuna democrasia bongoUchakachuaji kivipi?...ni imani yangu kwenye kila kituo kulikuwa na mawakala wa kila mgombea, ulinzi wa polisi na waliopiga kura ni wale wanachuo halali waliokuwa kwenye register na waliokuwa na vitambulisho....naamini hata kwenye kuhesabu kila kitu kilienda sawa, sasa kama kuna mtu kashindwa akubali tu kuwa hiyo ndo demokrasia.....inawezekana labda kulikuwa na mgombea maarufu ambaye alifikiri atashinda sbb ya umaaarufu sasa kama wapigakura hawajatokea atashindaje?Kitu kama hicho kiliwahi kutokea CBE-DSM campus pale mgombea aliyetegemewa na wengi atashinda matokeo yake akashindwa sasa wapambe wake wakataka kuleta fujo kuvuruga ili uchaguzi urudiwe lkn ikashindikana...so hao walioshindwa wawe wapole tu waruhusu demokrasia ichukue nafasi yake
yap,jamaa ndo wapo kwenye mchakato wampige chiniLakini si kachaguliwa kwa kupigiwa kuqa au? Nakumbuka mwaka 2007/2008 kuna jamaa alibebwa na uongozi akapigiwa kura na watu kama mia hivi lakini baadae aliondolewa na bunge. So kama hawamtaki waongee na wawakilishi wao (wabunge) ili wamuengue kwa kufuata utaratibu wa kikatiba..
uchakachuaji ulitoke wakati wa kuchagua majina ya wagombea,imagin kati ya wanachuo 20000 waliopiga kura ni 3000.dhahir watu waliosimamishwa hawakupendwa na watu waliokua wanapendwa majina yao hayakurudi
democrasia gani unayoiongelea,hakuna democrasia bongo
yap,jamaa ndo wapo kwenye mchakato wampige chini
Walipaswa wagomee uchaguzi kwanza. Unanikumbusha enzi za Odwang Odwaa, Anthony Machibya na Kiswaga, enzi hizo tulikua tunachapa makunji ki ukweli ukweli, DARUSO-UDSM ilikuwa smart kweli!wanadai eti ni kada wa magamba,wale wagombea wote waliosadikika wa chadema waliondolewa mapema kweny screening
uchakachuaji ulitoke wakati wa kuchagua majina ya wagombea,imagin kati ya wanachuo 20000 waliopiga kura ni 3000.dhahir watu waliosimamishwa hawakupendwa na watu waliokua wanapendwa majina yao hayakurudi
Walipaswa wagomee uchaguzi kwanza. Unanikumbusha enzi za Odwang Odwaa, Anthony Machibya na Kiswaga, enzi hizo tulikua tunachapa makunji ki ukweli ukweli, DARUSO-UDSM ilikuwa smart kweli!