Johalem
Senior Member
- Sep 24, 2013
- 118
- 14
jamani naomba msaada wa mawazo kwa mtu anaeweza saidia; mimi nilienda board ya mikopo kuhakiki taarifa zangu ila niliambiwa kwamba taarifa zangu hazipo! Leo nimeenda kwa loan officer kanijibu kwamba yeye majina alikwisha yapeleka board na hawezi fanya kazi mara mbili na alinitaka nimpishe ofisini kwake!! Kiukweli imeniuma sana kwa sababu board wamesema hawawezi kufanya allocation bila kuwa na taarifa zangu kama bado naendelea na masomo wakanishauri kumwomba Loan officer wa chuoni kwangu anipelekee hizo taarifa board, sasa nashindwa kuelewa nifanye nini!! Yeyote anayeweza toa msaada please! napatikana kupitia hii namba 0689488077 au hata kwa ku comment ili kuwanufaisha wenye tatizo kama hili. Nitashukuru sana.