Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Nyie bishaneni ujinga mkimaliza chuo mje mtaani muone kama hiyo coet sijui conac kama itawasaidia kuisoma namba
Upo ovyo nenda kaangalie maana ya uinjinia na kuhusu website acha ushamba tanzania sio ya kwanza teena kwa template za nani????? haya niambia hizo template zimetoka waaapi???? Au unafikiri kutengeneza website ni kama kukaanga mihogokila mtu anaweza. Hao mainjinia wa wakenya wao huwa hawatengenezi website????? je huwa wanatumia nini?????Khaaa!!! Angalia sasa. Yaani unaenda kusoma ili utengeneze website? Tena kwa kutumia templates? Angalia wenzenu wanavyoleta - Whatsapp, WeChat n.k. Ndio maana hata kutengenza Gateway Payment za mobile money wanafanya wakenya. Angalia sasa Wakenya wamekuja na PesaPal hadi mlangoni kwetu, nyie mwafikiria website tu...
Ukubwa ni upi???? Kenya kila high school inapaswa kuwa na website tanzania vyuo kibao havina website lakini bado mnasema utoto watanzania kwa majungu mpo vizuribado tu hata kutengeneza web ni utoto
acheni mbwembwe,pigeni kaziHabari ya mchana ndugu zangu Great thinkers wa JAMIIFORUMS...hii incidence imetokea leo kazini mida ya asubuhi..hapa ofisini kwetu kuna vijana wa UDSM waliopo katika mazoezi yao ya vitendo yaani field...sasa ukatokea ubishani mkubwa miongoni mwao kuwa pale UDSM kati ya college hizi mbili CoET na CoICT ipi zaidi??.....in terms of wanafunzi kufaulu sana,kuchukua wanafunzi wenye ufaulu mkubwa na academic excellence ya wanafunzi in general ni college ipi ipo zaidi??...karibuni kwa mjadala wadau:
Nami nipanue mjadala,kati ya Telecom na Comp Eng ipi faculty bora kuzidi mwenzie!?. That is yupi akisoma anakuwa deep kuzidi mwenzie kwenye mambo ya Network!?Nakumbuka wakati huo Telecom na Comp Eng walikuwa wanachukua mwisho div 1 ya point 5, ukiiwa na point 6 nchukuliwa unashukuru mungu
Sijui kwa ss hali imekuwaje
Nami nipanue mjadala,kati ya Telecom na Comp Eng ipi faculty bora kuzidi mwenzie!?. That is yupi akisoma anakuwa deep kuzidi mwenzie kwenye mambo ya Network!?