Ningefurahi sasa kusema UDSM nao wameanza kuungaunga baadhi ya kozi,nafkiri mantiki kuu hukuielewa,kwa chuo kikubwa kama UD bado kinapaswa kujitegemea kwa mengi,kwa kukusaidia tu ni kua hata vyuo vingi huenda kufanya practical pale COET ikiwamo SUA ktk coz ya AGRICULTURE ENGINEERING,na kwa hapo ardhi wanashuka daily,Tatizo si mtoto kumtegemea baba kumlea,ila pale baba anapolia na kudeka kwa mtoto hapo ndo tatzo linapoanzia.RAIS kamaliza kila kitu leo na bila shaka mukandara kaelewa,kwa kukuongezea tu unavyozungumzia ARCHITECTURE unakua umeigusa ardhi na si mbeya tech ambao nao wana architecture,mukandara ajipange naye asiwe anaanzisha coz kwa kufata mkumbo kama vyuo vingine afu wategemea kwa jiran