Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
Wallahi hiyo course hadi Leo sijui kwa nini sijasup...nlikuwa najua electromagnetic spectrum... tuuu kwingine Chengaaa...Mungu mkubwa nyiee
mi si wa udsm but kuna kikaka flan tulikuwa tunakiiita read more books plus 30 books i gave you. ana softcopy za vitabu vyake 30 kilá ikiuliza swali anakuambia if you dont understand today you will understand 1/2 when you read my 30 books and the rest during UE
Ivi mtu unadisco hadi udom?we utakua kilaza wa first degree order.
Ivi mtu unadisco hadi udom?we utakua kilaza wa first degree order.
Kwa wale wa UDSM kitu kimetema, kwa wale wa September Conference mpeane updates za tarehe za vikao mapema...
hahahah vijana hongereni mnanikumbusha mbalii saana...nakumbuka sana mazingira yale ya yombo,,kugombania shuttle kwenda bibo,,foleni ya ubungo,,yale mapindi hadi usiku kule theatre 1&2,,ulee msosi kiduchuu wa cafeteria,,ule usingizi mzito mle mjengoni (library) lilee joto kali la bibo...vile vyoo vichafu vya campus duuh na.mengine mengii kama cozwek,,ue,,kutoa copy madesa....kuushiwaa helaa kabla bum lingne halijatoka...yale makeleelee ya njaaaaaaaa hall2 na 5,,block c,,d,,na e
all in all najivunia kupita na kufaulu katika chuo kikuu cha dar es salaam na mungu akijalia nitarudi kwa ajili ya masters
karibuni kitaa sasa kwenye real life!!acha yale mliokua mnaigiza enzi za boom!!
Huku ni akili kumkichwaa!!utavuna ulichopanda...
Jengeni fikra katika kujiajiri zaidi na sio kuajiriwa...
Wale wa sept conf mjipange angalau muungane na wenzenu kuvaa majoho pale mlimani city huku mkipiga vipicha picha na kuweka mitandaoni daah
kuvaa yake joho asikwambie mtu...kuna raha yake hasa ukikumbuka zile changamoto za kozwek,,ue,,na ma lecturer wasio na huruma
binafsi sitoisahau kozi moja inaitwa remote sensing chini ya jamaa mmoja mtata sana anaitwa dokta willium phd ..ilkua ni balaa enzi zilee...
Karibuni saana kitaaa....
essay ndefu kama makala ya kupinga vijiji vya ujamaa wilaya ya manyoni.
Ni upeo wako Finyu ndio umekutuma kuwaza hayo ...
Ni upumbafu wako unaoendelea kuishi nao.
Jaribu Kuongea vitu vya maana au tafuta shughuli kama kuuza jezi ulipokua bibo....kuliko kukoment pumba ukidhani utafurahisha watu sio facebook humu..kule ulipozoea kuongea pumba zako...za blok g,,Rb,,ugum wa kozwek au kulialia bum limechelewa...
Hakuna mkono wa mtu kijana,ulikua kozi gani kwani mkuu?nahc hapo ushadisco tayari..ila usife moyo,jipange upya.
Duh! Makarai yote hayo? Aisee Aris ni nyoko,me wamenikosa na hawatanipata tenaaa
Tengenezeni whatsapp group, mkaongee private zenu huko!
HILi ND'0 GRUPU LETU.