UDSM admissions round 2

UDSM admissions round 2

kwa uono wangu hizi nafasi nyingi kiuhalisia zilikua ni za diploma but udsm wamechukua dploma wachache ndo maana wakawaoongezea hawa form six
but sina uhakika .
neno langu si maandiko matakatifu
 
kuna kozi inaitwa Agricultural and natural resources economics and business niliiomba siioni hapo. au na yenyewe imekosa second selection ?
 
Uyo haelew achana nae atakupotezea mda na nina was was atakua kachaguliwa apo na three yake ya kubahatisha

nimwmaliza shahada ya pili mwaka 2010 UDSM nina uhakika wewe ulikuwa drs la 5 na bado ulikua hujabaleee. na ningekua karibu na mama yako wewe ungekuta ni mtoto wangu. uwe na adabu
 
Tena wamechukuliwa watu wenye vigezo vya KAWAIDA sana..!
Sasa sijui wamefanyaje...
Anyways, nafikiri hayanihusu..!
Wewe acha ujingaaaa.
hujui kama kuna kitu kinaitwa competition.
wewe mfano umesoma pcb umepata DDD alafu unaomba MD choices zote tano.
unataka aaachwe T.O upewe wewe.
Na ww ungeomba fisheries udsm,food sciences udsm,environmental ya sua au education ST JOHN ucngeachwa.
uliomba kwa kutaka sifa sasa utaijutia maishaaa.
 
Mkuu nilkua nina two ya kum nmeachwa apo .
Alaf nmekosa na first round leo hii wamechukuliwa watu wengne alaf weng n two ya 12 na three.
Yan apo ndipo ninapo umia kichwa kuhusu utendaj wa tcu
Nawewe acha up.umb.avu
mlikua mkiambiw kuna kitu compttn mlikua mnajaza tuu.
Kuna mtu aliapata two ya mwsho akaomba MD zote nkamwambia aombe MD mbili za mwanzo then tatu za mwsho achanganye koz kama nursing , medical lab na optometry ila akikataaa akisema alizaliwa kuwa Doctor nkamwmbia sawaa. Leo kakosa vyotee.
 
Duuuh ila kwel Mkuu huu msako ulikua kwa wote.
Ila kinachoshangaza watu n watu wenye vigezo hafifu kuchukuliwa second batch wakat first watu wamekosa na kuambiwa kimejaa
 
Wewe acha ujingaaaa.
hujui kama kuna kitu kinaitwa competition.
wewe mfano umesoma pcb umepata DDD alafu unaomba MD choices zote tano.
unataka aaachwe T.O upewe wewe.
Na ww ungeomba fisheries udsm,food sciences udsm,environmental ya sua au education ST JOHN ucngeachwa.
uliomba kwa kutaka sifa sasa utaijutia maishaaa.
Dogo...
Jifunze kuwa na nidhamu kidogo..!
Alafu umeelewa nilichokiandika au umekurupuka tu kuniquote..?
 
Ooh! Sorry niliangalia file la round 1. Basi ulizia TCU unaweza kuwa umepangwa kwingine maana haupo kwenye list ya UD
 
Back
Top Bottom