Tena wamechukuliwa watu wenye vigezo vya KAWAIDA sana..!Alaf tcu wanazingua iki chuo kwenye course za education c kilikua kimejaa sasa imekuaje watu tukose first round alaf second wachukue watu weng iv.
Nin kinaendelea tcu jaman huu c ubaguz kabsa.
Tena wamechukuliwa watu wenye vigezo vya KAWAIDA sana..!
Sasa sijui wamefanyaje...
Anyways, nafikiri hayanihusu..!
Hivi ni kweli haujanielewa au unataka tujaze server kwa majibishano..!?kwan hao wenye vigezo vya kawaida hawatakiwi kusoma UDSM??
thanx man.hongereni wakuu
Mkuu nilkua nina two ya kum nmeachwa apo .Tena wamechukuliwa watu wenye vigezo vya KAWAIDA sana..!
Sasa sijui wamefanyaje...
Anyways, nafikiri hayanihusu..!
Wakati naomba kujiunga chuo, kwa watu waliomaliza shule niliyomaliza, walioenda UDSM wengi walikua na division 3.Tena wamechukuliwa watu wenye vigezo vya KAWAIDA sana..!
Sasa sijui wamefanyaje...
Anyways, nafikiri hayanihusu..!
Uyo haelew achana nae atakupotezea mda na nina was was atakua kachaguliwa apo na three yake ya kubahatishaHivi ni kweli haujanielewa au unataka tujaze server kwa majibishano..!?