Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20.inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Nadhani ulikuwa na lengo la ku-publish tu matokeo ya vijana, maana sababu uliyotoa haina nguvu, sidhani kama umeangalia average ya total marks! Mimi naona ziko fair tu, na hakukuwapo sababu ya kuyaweka humu
Tena bora huko Udbs hata below 16 ya CW unaweza kufanya UE hata kwa marks hizo hapo mshikemshike upo COSS ndiyo utaona balaa una carry hivihivi course usipopata huruma ya mwl
Wanachukua cream YES, Ila baada ya kuchukuliwa ni wewe na msuli wako ndio utakubakisha. Haina maana kuwa umechukiwa cream basi hata usiposoma utapewa tu marks.
Sitaki kuamini Hilo ulikuwa hulijui