UDOSO yaanza kusaka wanafunzi machangudoa

UDOSO yaanza kusaka wanafunzi machangudoa

Umalaya upo kila chuo, waacheni mabinti za watu wajiuze, Mzee Mwinyi mwenyewe alisema, wanawake uchumi wanaukalia, sasa kwanini wafe njaa na uchumi wanaukalia?
 
Hv kwani dodoma wanafunzi waliopo ni wa UDOM tu? Why mnakichafua chuo chetu kwa taarifa zisizo na uhakika bhana? Kila ubaya mwawatupia udom, vilaza wao, wadini wao sasa mmehamia kwenye ukahaba jamani! Ingekuwa vyema wanahabari mjifunze kutoa taarifa accurate kupunguza mkanganyiko miongoni mwa jamii. Penye wengi kuna mengi hvo sitaweza kataa uwepo wa makahaba huku dodoma au udom bt next time waonyesheni nyuso zao, id zao km wanazo na sio kupiga picha miguu ya watu wamevaa vimini tena walio ktk burudan zao, club au sherehe afu mnawaita wa UDOM! Huo ni ukanjanja ktk reporting!
hilo liko wazi kabisa
 
Prostitution as one of the branches of the sex industry, is sometimes referred to as "the world's oldest profession", it is there to stay.Hakuna wa kuizuia,kwani wazuiaji wakubwa ndio wateja wake.[SUP] [/SUP]
 
Kadri ninavyofahamu UDOSO kama zilivyo serikali nyengine za wanafunzi katika vyuo vingine hawana uwezo wa kufanya huo uchunguzi, na hawana mamlaka ya kumuwajibisha mwanafunzi kwa tuhuma kama hizo za umalaya.

Kama wangekuwa na akili wangejikita katika kuibana serikali iweze kutoa mikopo kwa kiwango cha kutosha na kwa wakati muafaka kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Hiki wanachojaribu kutaka kukifanya ni dhahiri kwamba hawatambui wajibu wao kwa wanafunzi wenzao, na wanajaribu kutafuta ku-make headline magazetini kwakuwa hawana uwezo wowote wa kufanya chochote kwa hao wanafunzi wanaotuhumiwa kwa kuendesha umalaya.
 
Wewe jamaa pumbaa sana! Wewe mwenye akili umeishaibana serikali kwenye jambo lolote.
 
Tuache siasa uharo, uchangudoa si wa leo wala jana. Wanafunzi wengi wa vyuo vikuu ni wapuuzi.
 
Wewe jamaa pumbaa sana! Wewe mwenye akili umeishaibana serikali kwenye jambo lolote.

Kama hapa ndio umeanza kupata nafuu, je, wakati unaumwa kabisa ulikuwa upo kwenye hali gani?
 
cha msingi ni kuhakikisha mikopo inafika kwa wakati vyuoni nadhani haitaondoa tatizo ila italipunguza kwa kiasi fulani.pia si udom tu hzi mambo zipo,hao waandishi wa habari watembee kwenye klabu kubwa mijini has dar hawakosekani watu wa namna hiyo.wanafunzi wa udsm ifm na vingine wametapakaa kwenye maklabu hayo ya starehe.je kuna haki ya kulalama kwa ajili ya udom ambapo habari zenyewe hazina uhakika,je kuna mmoja kati yao aliye onyesha identity ya kwamba yeye ni wa udom kama ni ndio amewajibishwa?wanahabari pia wanapaswa kua na uthibitisho wa kutosha wa habari zao wanazozitoa,zinaweza kuleta mkangaiko ktk jamii c unajua kila mtu ana uelewa wake
 
Huko ni kuingilia uhuru wa mtu!. Kuna mambo ambayo hayawezi kabisa kuingia ktk akili yangu
1. kutambua huyu ni malaya kwa kuvaa nusu uchi, kwenda Club na Kuishiwa pesa za kujikimu chuoni.
2. Kwamba Chuo na utawala wake wamekosa kazi za msingi na kuanza kuingilia private life la wanafunzi.
3. Kwamba kila aliyeingia Chuoni ambao wengi ni miaka 18 na kuendelea (mtu mzima) hajui kilichompeleka Chuoni na hususani wengine wanafunga safari ya siku mbili hadi tatu kufika chuoni.

Ushauri wangu ni kwamba, serikali na vyuo viwezeshe wanafunzi kusoma!!! kwa kuwapa all the necessary means like mkopo, then atakayejiingiza kwenye umalaya n.k 'COURSE WORK' imamsomea namba na baada ya Kugraduate, hakuna shaka life mtaani litamkabili.
 
UDOM naskia WABUNGE wakiwepo dau linapanda na sasa hawapo unajisevia tu jerojero! wasomi wa kizazi hiki bwana lol!
 
Heko kaka Mwita!!! Mtanzania utamjua tu, badala ya kudhibiti chanzo wanahangaika na madhara na ndio maana matatizo mengi Tanzania yamekuwa SUGU! labda Nyerere afufuke..... hawa wengine uchwara mtupu aisee yaani hadi kero. Mbona UDSM hamnaga sera za kipuuzi kama hizo? ndo maana hata kiwango cha UDOM kiko chini sana hata matamko kama hayo yanafanya Chuo kushuka hadhi maana 'An intelectual always has to be free and willingly is able to do what is right and follow it and vice versa is true'.................................
 
wanafanya uchunguzi gani? kwann wanafanya hvyo vitendo ama?,tumia muda kuzungumza na uongozi wa chuo na loan ili kutatua
 
Back
Top Bottom