jamaangu dereva alimvusha mmoja hadi Dom waanza kuishi kama mke na mme,,,,, haikupita mwezi kuingia ndani tunakumbana na mwangwi!! Sijui alibebaje vitu vya ndani hadi Rwanda
Naam, we ndo unawaelewa hawa jamaa.... Wako extremely suspicious.... Wanaweza kukukuta umebanwa na shida fulani wakakupita km hawakuoni... Huwa nawashangaa sana wanaowasifia hawa watu. I hate them like never before!!!