Udom

Ndugu yangu unategemea sana ajira za udom?hao hawana lolote,mizengwe kibao!no transparency at all,ni chuo ambacho mambo yake siyakubali !subiri ndugu.

Hakuna anayetegemea ila humu tunajuzana mambo yanavyoendelea. Ni muhimu kujua mambo yanavyokwenda ili utoe matumaini. Wanafuatilia humu ujue walipiga oral.
 
Kwa mtazamo wangu hawajaitwa kazini kwa sababu oral interview bado znaendelea kwa kada nyingine. Kama sis tumefanyiwa jana.
 
Hata mimi nilifanya tangia January mwanzoni lakini bado sijaitwa pamoja na kupata taarifa kutoka kwa wenzangu, ila nimesikia mwishoni mwa mwezi huu wa pili au mwanzoni wataita.

Poleni, subira huvuta heri jamani, mwishowe mtafanikiwa tu, Mungu yupo
 
Kwa mtazamo wangu hawajaitwa kazini kwa sababu oral interview bado znaendelea kwa kada nyingine. Kama sis tumefanyiwa jana.

And you believe that what you know should be taken as standard measure/knowledge!
 
Jmani mi nadhani tuwe na imani tu na UDOM kama wasingekua wawazi nadhani wasingeita watu kufanya kazi,mvumilivu cku zote ndo hula mbivu
 
Jmani mi nadhani tuwe na imani tu na UDOM kama wasingekua wawazi nadhani wasingeita watu kufanya kazi,mvumilivu cku zote ndo hula mbivu

Shauri yaku we wasubiri mbivu, wakati wenzio wanachemsha, wengine wanapika mtori, wengine wanachoma. karaga baooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom