T Tasha. New Member Nov 16, 2011 1 0 Nov 16, 2011 #1 Jaman vipi watu waliofanya interviw udom ya kuandika vip kuna watu wameitwa intrview ya pili.
M Mwamatandala Member Jul 17, 2009 44 3 Nov 18, 2011 #2 Mhh! Mi mwenyewe nifanya ile ya kuandika.ila mpaka sasa sijasikia kama wameita awamu ya pili.labda mwenye taarifu atujuze hapa jamvini.
Mhh! Mi mwenyewe nifanya ile ya kuandika.ila mpaka sasa sijasikia kama wameita awamu ya pili.labda mwenye taarifu atujuze hapa jamvini.