UDOM

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Wakuu kwa wale tulio omba udom 3rd round hichi kitu kina maanisha nini tume pata katika single au ndo system zina sumbua,maana uki ingia sehem ya kuapply hakuna mwitikio wowote na profile ipo kama ivyo
 
Nenda kwenye program ulizoomba,kuna alama ya jicho pale na dustbin,klik dustbin kufuta machaguo uliyoomba then ingiza mengine hapo utakua umeomba round nyingine.
Kuhusu ulichokiona sidhani kama wamekuchagua,maana ukichaguliwa status itajieleza,no need of guessing..
 

Samahani mkuu weka ako kajicho na dustbin tukaone
 

Samahani mkuu weka ako kajicho na dustbin tukaone
 
ukiona hivyo ujue umekosa mkuu, ukienda kwenye review utakuta kuna sehemu wameandika NOT SELECTED so omba upya kama ukiingia kwenye apply progrm inagoma basi wapigie wakusaidie itakuwa na shida.
 
ukiona hivyo ujue umekosa mkuu, ukienda kwenye review utakuta kuna sehemu wameandika NOT SELECTED so omba upya kama ukiingia kwenye apply progrm inagoma basi wapigie wakusaidie itakuwa na shida.

Yah ngoja ni fanye ivyo mapema kesho
 
ukiona hivyo ujue umekosa mkuu, ukienda kwenye review utakuta kuna sehemu wameandika NOT SELECTED so omba upya kama ukiingia kwenye apply progrm inagoma basi wapigie wakusaidie itakuwa na shida.

Nime ingia kwenye review lakini hakuna chochotee[emoji24]
 
Nime ingia kwenye review lakini hakuna chochotee[emoji24]
kama wakati unaomba ulikuwa hufuti raundi za nyuma basi display hizo raundi zote 3 hlf angalia juu kuna sehemu nafikr wameandika not selected..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…