ndugu zangu continous students ambaowengi walikosa mkopo mwaka jana kuna tetesi na uvumi unaosikika sana kuhusu upataji wa mikopo..kisheria mnahaki ya kupata mikopo kabisa ila kuna tatizo moja ambalo maloan officerwengi aswa hapa udsm husa hawapeleki taarifa zenu board ya mikopo huwa wanawatu wao wanaowafahamu wao hili limekuwa tatizo sana ndugu zangu kuna rafiki yangu ilimkuta mwaka jana kipindi cha kuappeal mkopo taarifa zake hazikupelekwa heslb kufanya hakose mkopo alipoenda pale aliambiwa data zake hazipo na alikuwa na haki ya kupata mkopo... Ushauri wangu continous nendeni heslb mkahakikishe kama taarifa zenu zipo na kama hazipo rudi haraka chuoni kwako kwa loan officer mkazie maana ni wala rushwa wakubwa... Takukuru tunaomba ingilien kati kwa hawa loan officer.bila kuwa fighter wa haya matatizo na nihaki yako kufuatilia mkopo utausikia tu kwa watu wengine