UDOM wapanga kugoma

hawa juzi juzi si walimchangia lowasa pesa akachukue fomu vp leo wanalalamika hawana pesa
 
Naskia wameanza kugoma uck huu ni kwel?
 
Naskia wameanza kugoma uck huu ni kwel?

Wajinga hao kwa hiyo wana goma hadi kulala?
Wamechoka kusoma wasubiri watarudishwa nyumbani ili watafute shughuli nyingine ya kufanya...
 
Rais kashapga hela kanunua gar inatosha sasa bt udom wanafunz waoga sana
 
Hivi wabunge wa JMT nao hawajapa posho zao za vikao?Kwa nini wanafunzi hawa?CCM Mmechoka kama alivyosema Lusinde?

Tena hasema wamechoka tuu. Aliomba wananchi muda wa kufanya service iwe october. Yaani kada shupavu wa ccm anakiri wamechoka wanahitaji service. Naomba mafundi magari mtufafanulie unapofanya service huwa kunakuwa na hatari gani na kuna muda maalumu wa kusimamisha chombo? Isije ikawa ikiachwa ifanye service ndio marehemu juu ya mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…