Tatizo wana vyuo wa siku hizi eti wanajifanya kushabikia upinzani.. Wakachukuee kadi za ccm wapate mikopo.
Hivi kushawahi tokea mgomo udom? Mkuu tunaongelea udom na sio udsm
udhalilishaji tu huu
AAAh!! UDOM hamna ki2, selikali ya wanafunzi haina meno kabisa
Kesho kutakuwa na maandamano kuelekea bungeni ya wanafunzi wa udom collage ya education,lengo ni kuomba wabunge wawasaidie ili wapate stahki zao kutoka bodi ya mikopo,
Tatizo wana vyuo wa siku hizi eti wanajifanya kushabikia upinzani.. Wakachukuee kadi za ccm wapate mikopo.
HawaSio kosa kudai Pesa zenu, ni haki yenu kuzipata hizo pesa . Tatizo linakuja pale mnapotumia njia zisizo sahihi kufikisha ujumbe wenu...Leo nimepata taarifa RUCO kuna mgomo wanafunzi wamefunga barabara ...mnafunga barabara ili iweje?? mtambueni kwanza adui yenu then mtafute namna ya kufikisha ujumbe wenu kwake na sio kufanya vitu vya ajabuajabu...