hahahahahahahahahaha uwiiiiiiiiii
nyie ndio mnaofanya udom idharauliwe kutokana na thread za kitoto kama hizi...kuandika kwenye kunakusumbua hadi inatia shaka umefikaje fikaje hapo.
Hebu nenda kwenye mgomo wenu na utuondolee ujinga wako hapa.
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
kamavipi mkaekimya 2megoma cc mbwembwe z nn kitaan; its me udom maana wengine hamjui hata maana ya mgomo kulen samak 2
ndugu yangu acha ujinga, hayo majengo hapo udom na uwingi wa wanafunzi usikupe kichwa ukishatoka hapo utahukukiwa wewe peke yako kweye soko la ajira, pili usitufanye kuwa sisi wajinga walimu karibu wote wa udom ni wale waliokuwa wanafunzi wa UDSM na hata walimu waliokuwa udsm naweza nikasema hata 80% yao ni kutoka udsm sidhani kma utakuwa na haki ya kuidharau UDSM........
MIGOMO yote yenye manufaa na hiyo sh 5000 unayopata leo ilipatikana pale, nadhani we ulikuwa bado mdogo kipindi hicho
ushauri wangu usifananishe chuo cha miaka mingi na hicho chuo cha miaka hata isiyofika 7
ukitaka maelezo zaidi niambie ............
siamini kama yai la kuku ni tamu kuliko kuku mwenyewe......
angalia na wewe usije ukasahaurika, ila usijari.
i cant bileave kama msomi tena wa chuo kikuu anaweza kuandika ujinga kama huu...hivi wewe unaona ufahari kugoma eeeh ..huoni kuwa wenzako wa udsm wana akili za kufikiri na unafikiri wanakuwa wanagoma bila sababu.....wale wasomi wametulia kaka...kwanza PALE NDO CREAM YOTE YA MAZIWA IPO PALE na ndo mana hata wakigoma serikari fasta inafika ......Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
Its better useme,anawatia aibu sana,hajui kiswahili wala kiingereza,udsm is superb!huyu jamaa si wa UDOM,inawezekana anatokea ng'ong'ona village near by UDOM
Nadhani mbeya hukujui ndo maana unalinganisha na mtwala. Tafadhari badili mfano.You all hazijatimia kichwani.sion tofaut na watu wanaoshindana mmoja anajisifia Mtwara na mwingine Mbeya.pumbavu kabisa nyie na hi ni kutokana na elimu zenu za Kumeza.mnaacha kuweka mambo ya msingi kwenye ii forum et mnashindana kati ya udsm na udom.na je akitokea mtu wa Ifm au IAA arusha wakajigamba kuwa mazao ya vyuo vyao ndo yanaongoza kwa kuajiriwa mara mbil ya vyuo vyote mtasemaje.if ur fool beta b quite