Nyie ndio mnaofanya UDOM idharauliwe kutokana na thread za kitoto kama hizi...kuandika kwenye kunakusumbua hadi inatia shaka umefikaje fikaje hapo.
hebu nenda kwenye mgomo wenu na utuondolee ujinga wako hapa.
Nyie ndio mnaofanya UDOM idharauliwe kutokana na thread za kitoto kama hizi...kuandika kwenye kunakusumbua hadi inatia shaka umefikaje fikaje hapo.hebu nenda kwenye mgomo wenu na utuondolee ujinga wako hapa.
We ni mwanafunzi wa UDOM au mtoto wa mfanyakazi wa UDOM?..........Kama ni mwanafunzi......khaa! Elimu ya siku hizi basi itakuwa imefika kwenye kilele cha shimo!
Acheni ujinga wa kushabikia udom vs udsm. Kuna matatizo ya kimsingi yakushughulikia. Mkimjibu zuzu kama huyu ni ujinga. Ni kama yule mtu alikua anaoga mtoni halafu kichaa akakwapua nguo zake halafu akaanza kumkimbiza uchi mtaani. Kati yao nani ataonekana kichaa?