Ama kweli bongo hii kama umetoka familia ya umaskin na hata kama una degree yako kupata kazi ni ngumu, nimeamini usemi usemao maji hufuata mkondo, watoto wa wakurujenzi akifika mwaka wa mwisho chuo kashaju anaenda kufanya kazi wapi, Naomba hizo za UDOM zikitoka kwa interview tujulishane jaman sijui nitaitwa au lah! maana tumekua wasindikizaji tu.