mkereketwamkereketwa
Member
- May 7, 2012
- 21
- 4
mh...we mtoa mada?? je unasoma hapo udom??? na tuaminije??? lakin kwa nini kila siku udom...mara ile biashara...mara kiko kisiasa.....mara elimu duni....sasa na wewe umekuja na lako??? mh, polen wajamen!!!Chuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa wanafunzi umekithiri lol...KIKULA tusaidie jamani tunaangamia wanao.
kweli wewe ni msomi!!! hujui kujieleza, unabwabwaja maneno tuu, andika kitu na mtu asome aelewe huyu mtu kamaanisha nini, au unadhani kila mtu yupo udom?Chuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa wanafunzi umekithiri lol...KIKULA tusaidie jamani tunaangamia wanao.

Poleni ila msitegemee msaada wowote manake kuna mtandao wa kulindana! Vumilia hayo ni ya kupita tu! hata staff wananyanyasika mnoChuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa wanafunzi umekithiri lol...KIKULA tusaidie jamani tunaangamia wanao.
acha kudhalilisha madean wetu wewe kaka unauhakika wa hicho ukisemacho tafadhali tupe evidence cio kuongeachuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa wanafunzi umekithiri lol...kikula tusaidie jamani tunaangamia wanao.
Chuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa wanafunzi umekithiri lol...KIKULA tusaidie jamani tunaangamia wanao.
Kuna dean of students hapo udom ndugu yangu,hako kajamaa ni kafupifupi hivi,kazinzi kanakula vichwa hakuna mfano, Dhaifu angebadilisha japo uongozi hapo udom,la sivyo haya mambo hayataisha miaka nenda rudi
mengineyo yanavumilika lakini hili la uzinzi!!! u...... jamani tuwaombee