UDOM TUMIENI USTAARABU KIDOGO

UDOM TUMIENI USTAARABU KIDOGO

cmomwa

Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
55
Reaction score
8
Mimi milichaguliwa multiple selection udom na ifm na nikaconfirm ifm lakini cha kushangaza nmeingia kwenye account yang ya udom nmekuta napo washaconfirm sa nfanyaje jmn
 
ingia kwenye menu pale zeni utaona neno unconfirm click hapo
 
tatiz ilo sio pekee yak mkuu hata mie limenikuta ilo
 
Maamuzi tunayochukua sasa kuna siku utatamani irudi ubadilishe. Nenda tu UDOM
 
Mkuu hata mimi wamenifanyia hivyohivyo alafu eti unconfirmation wanataka code,huu ni uhuni siwezi nikawapa code wale wapuuzi,nimeshaconfurm muhas kwa kutumia code huko udom watajua wao wenyewe na system yao
 
Walikulazimisha kuomba UDOM? Kuwa mpole Tafadhali
 
Mkuu hata mimi wamenifanyia hivyohivyo alafu eti unconfirmation wanataka code,huu ni uhuni siwezi nikawapa code wale wapuuzi,nimeshaconfurm muhas kwa kutumia code huko udom watajua wao wenyewe na system yao

Ngojea ukose mkopo
 
Mimi milichaguliwa multiple selection udom na ifm na nikaconfirm ifm lakini cha kushangaza nmeingia kwenye account yang ya udom nmekuta napo washaconfirm sa nfanyaje jmn
Code yako ya confirmation wao wameipata wapi na code anatumiwa mwanafunzi na sio chuo!
 
Kama autaki kwenda sasa ulipaomba panini ndugu dah
Hapa ntamtetea kumbuka kuna chaguo la kwanza alafu kuna chaguo la pili na zaid sasa kama ilikuwa chaguo la pili na chaguo la kwanza limekubali sa utaweza kujigawa si ni unaamua kwenda lile la kwanza sa dogo anakosa gani zaidi analalamika kulazimishwa
 
Apo no way out qaqa yy tu aqubaliane na matokeo coz ata tcu sizan kama wanaweza kukubaliana nae ety udom wamemconfirmia coz uwez kuconfirm bila code ko pole kwake wenda ndo ukawa mpango wa mungu yy kwenda uko
 
Je ameconfirm upande wapili itakuwaje?
 
Maamuzi tunayochukua sasa kuna siku utatamani irudi ubadilishe. Nenda tu UDOM

wengine wanasoma huku wana mishe zao zingine.. so location muhimu..

na course pia inawezekana udom amechaguliwa course ambayo haipendi..

so kumuona anakosea sio sahihi
 
Duuuu sasa mkuu umeingia kwenye akaunti yao kufanya nini,ungepotezea labda ukilogin tu kwenye akaunti yao ndo ushaconfirm!!!!.
Ndo hivyo tena UDOM wanakungoja ukareport!! Ila system yao ni shida website yao yenyewe kuipata inahitaji moyo!!!.
 
Back
Top Bottom