UDOM Student Shines


Well said mkuu
 
Wewe umefanya nini?
OK then, tupe mfano mmoja wa unalolifikiria ambalo litaleta Tija.
Period..!

Tukianza namna iyo,ni ungese tu...na wewe umefanya nini?Tutaishia kwenye chicken-egg riddle...

Hujaelewa mantiki hapa,ni kwamba hiyo project ni ya kawaida kabisa haina cha ajabu...ungekua umepitia projects zote za fourth year za vitivo vya Electrical/Electronics and Computer Systems Engineering zilizokwisha fanyika kwamfano UDSM tu ambapo nina uzoefu nako,hiyo project ya huyo dada it is a joke...

Ndio maana nakuuliza,una background yeyote ya ECSE degrees ili tuelewane hapa?

Unaishia kusema "Umefanya nini",haya tukianza kutaja Fourth Year Projects za kila mtu hapa,huyo dada will nowhere to be seen...nikutajie projects zilizowafanya professors wa engineering udsm washangae na kutokuamini macho yao?

Sikatai kwa level ya huyo dada kajitahidi,ila kwenye grand scheme of things,aisee trust me,ni kawaida tu.

Huyo katoka Udom na ni msichana na wao wapate 1minute of media attention for obvious reasons,you know them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ