Ndio project ni ya kawaida, lakini hilo halimaanishi tusimpe pongezi, angalau amejaribu na katoa kitu from zero hadi kukamilisha prototype inayofanya kazi, nimeipitia system yake nzima aliyotengeneza hapa Rented House Power Distribution Controlling System (RHPDCS) - ELECTROTZ Naona kajitahidi, ingawaje zipo system nzuri zaidi, lakini kila kitu kinaanzia chini siku zote, huyu anakua polepole, akiendelea kukomaa anaweza fika pazuri, namshauri tu ajaribu kujikita na kwenye ulimwengu wa digital logic, programming, mfano kwa arduino project kama hiyo ingeweza kufanyika kwa kasi mno pamoja na kuunga hadi kwenye smartphone kabisa badala ya kutumia buzzer.
Ningependa kuona UDOM wanajaribu kujiimarisha kuwahamisha wanafuzi wafanye practicals, project kama hii nilitegemea mwanafunzi wa mwaka wa pili electrical engineering au computer science awe na uwezo wa kuifanya fully, kama final year project naona kama ni rahisi mno. Wana majengo mengi yanafaya kazi gani? wanafunzi nao naona wamelala kidogo. Kwa mazingira aliyopo huyu dada nadhani angekua nchi nyingine angekua mbali sana.
Well said mkuu