Nadhani ndicho kifuatachoasa mbona maswala ya ajabu haya?? wanataka tukose vyuo au VP??
Acha uongo wee,,,wasiliana na chuo wambie tatizo watakuelewa ,,humu ndan ukiwasikiliza unaweza kufaa na pressureNadhani ndicho kifuatacho
Chukua no za udom piga admission ofc wambie wanaku un-confirm fasta wale n waelewa ...humu utakejeliwa mpaka hutaaminhabali wana jf??
jaman mi udom siwaelew, nilichaguliwa chuo zaidi ya kimoja katika awamu ya kwanza ikiwemo udom, Ila sikucomfirm, na wakaniandikia kabisa sijacomfir, lakini Leo naangalia nakuta wameniandikia please your confirmed your admission, ASA sielewi wamecomfirm wenyewe au VP??
Majina yamepelekwa teyari tcuAcha uongo wee,,,wasiliana na chuo wambie tatizo watakuelewa ,,humu ndan ukiwasikiliza unaweza kufaa na pressure
Mfumo wa majaribio kwenye maisha ya watu ndo shida zake hizi.M kuna vitu sivielewi kabisa... Selection ya IFM ilitoka ikaniandikia niconferm nipo kwenye multiple.. Lakin vyuo vingine vilipotoa Matokeo sikuwepo popote pale nikaamua Kuconferm tu IFM kwenye Online application mana ndo nilipofanyia. Leo naingia kwenye website yao wametoa watu waliokuwa selected afu m sijui pote.... Whatswrong.???? Nifanyeje jama.???
Ongea kwa logic na evidence mkuu sio unacomment tu irimlad..Majina yamepelekwa teyari tcu
M kuna vitu sivielewi kabisa... Selection ya IFM ilitoka ikaniandikia niconferm nipo kwenye multiple.. Lakin vyuo vingine vilipotoa Matokeo sikuwepo popote pale nikaamua Kuconferm tu IFM kwenye Online application mana ndo nilipofanyia. Leo naingia kwenye website yao wametoa watu waliokuwa selected afu m sijui pote.... Whatswrong.???? Nifanyeje jama.???