UDOM(sielewi)

UDOM(sielewi)

nny

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
40
Reaction score
5
nimechaguliwa chuo cha udom kupitia nacte na nina GPA ya 4.6 ila majina yaliyotoka jana sipo sasa sijui ndio ishatoka hivyo au watatoa batch 3
 
Umechagua kozi gani?una diploma ya nini?form 4 ulipata division ngapi?
 
nimechaguliwa chuo cha udom kupitia nacte na nina GPA ya 4.6 ila majina yaliyotoka jana sipo sasa sijui ndio ishatoka hivyo au watatoa batch 3

Ingia website ya chuo kunamba za simu piga uliza.ukishindwa nicheki pm nikusaidie.otherwise karibu dom
 
I don't know what to do,,sijui elim kwangu ndio basi tena
 
Back
Top Bottom