UDOM second round

Naombeni msaada jinsi ya kukomfem kwawale waliochaguliwa UDOM
 
mi wamenipigia simu kuniuliza kama ntaenda baada kuthibitisha ndio akaniambia itatumwa code leo au kesho maana kuna watu 800 wa multiple wanatakiwa kuwasiliana nao ndio waaze kuwatumia izo code
 
wale wa mzumbe majina tayari ingieni katika account zenu
 
mzumbe sijaona but nmepata saut
Ada ya mzumbe nafuu hata vyuo vya private..imezoeleka vyuo vya gvt kuwa na ada nafuu kama UDOM,UDSM lakini imekuwa kinyume kwa MZUMBE yaani SAUT degree ya elimu ni milioni na na laki 2 na elfu 60 wakati mzumbe ni milioni na laki 3 Udom laki 7 halafu mzumbe chuo cha gvt kuna kodi yetu hapo wananchi Ndalichako amulike tochi hapo maana kama serikali hii inavyojipambanua kuwa ipo kusaidia masikini kwa mzumbe imekuwa kinyume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…