Nimejaribu namba kama 7, zingine zinaita bila kupokelewa, zingine hazipatikanijaribu zote me ua wanapokea nishawasumbua sana mpaka wamenikalili labda iwe bize na ikiwa bize unapiga inginee zipo nyingi kuna mmoja atapokea tu
0626595158Nawezaje kupata code mkuu?
Kama una namba za Admission officer wa UDOM naomba unisaidie
Me nimechaguliwa second round ila hat code tu sjapataKwa wale wa 2nd raund udom kuna aliyetumiwa admission letter ?
Admission letter unaipata kwa kuingia kwenye web ya udom then unaingia sehemu ilipoandikwa ALIS, hakikisha unaingiza index number ya form 4 kama username na pasword jina la babu au sirname. #sifa wepesiKwa wale wa 2nd raund udom kuna aliyetumiwa admission letter ?
Pa1 Mkuu ngoja nifanye hvyoAdmission letter unaipata kwa kuingia kwenye web ya udom then unaingia sehemu ilipoandikwa ALIS, hakikisha unaingiza index number ya form 4 kama username na pasword jina la babu au sirname. #sifa wepesi
Mbona inanigomea bossAdmission letter unaipata kwa kuingia kwenye web ya udom then unaingia sehemu ilipoandikwa ALIS, hakikisha unaingiza index number ya form 4 kama username na pasword jina la babu au sirname. #sifa wepesi
Sio kweli admission letter inapatikana hapa , inapatikana katika system ulitumia kufanyia maombi ya chuoAdmission letter unaipata kwa kuingia kwenye web ya udom then unaingia sehemu ilipoandikwa ALIS, hakikisha unaingiza index number ya form 4 kama username na pasword jina la babu au sirname. #sifa wepesi
hyo ni 1st raund au 2nd?Sio kweli admission letter inapatikana hapa , inapatikana katika system ulitumia kufanyia maombi ya chuoView attachment 888401
First round.hyo ni 1st raund au 2nd?
Cc wa 2nd raund cjui wanatuwekea lini?First round.
Watakapotoa matokeo ya third roundCc wa 2nd raund cjui wanatuwekea lini?
Sawa mkuuWatakapotoa matokeo ya third round
DuuhHaki ya Mungu ni Ukweli usiopingika UDOM ya sasa ni shida sana. Watu wanadisco sana sababu ya musuli wa pale siyo wa kawaida ila ukiutumia mda wako vizuri unafanya vizuri lakini siyo kama vyuo vingine. Mfano college of education Mwaka wa kwanza 2017/2018 wamedusco watu 800 na zaidi kwa mwaka.
Nipeni mrejesho mbona mimi kimya ajanitumia hizo code mpaka sasahiviNgoja nijaribu, tatizo huwa wanazingua, hawapokei